Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akiwa katika picha ya pamoja na wataalam wa WWF wanaofanya kazi katika ushoroba wa Selous-Niassa .wataalam hao wamedhamiria kuendeleza sekta ya uhifadhi na utalii mkoani Ruvuma.
Mwenye nguo nyekundu ni Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Rehema Madenge
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.