Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa kijiji cha Mchomoro Namtumbo mkoani Ruvuma alipokuwa njiani akielekea Namtumbo Mjini kwa ajili ya kuhutubia mkutano ya Kampeni ya Chama cha Mapinduzi CCM Septemba 14,2020. Makamu wa Rais ameanza ziara rasmi ya kampeni Mkoani Ruvuma tangu Septemba 14 na ziara hiyo inatarajia kukamilika Septemba 17 mwaka huu.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.