Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa kijiji cha Kigonsera Mbinga alipokuwa njiani akielekea Mbinga Vijijini Mkoani Ruvuma kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 16,2020.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.