Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi kitabu cha Ilani ya CCM 2020/25 Mbunge Mteule wa Jimbo la Peramiho Mhe. Jenista Muhagama kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya kampeni za CCM baada ya kuwahutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Peramiho katika Uwanja wa Tamasha Peramiho (A) Wilaya ya Songea Vijijini Mkoani Ruvuma Septemba 16,2020.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.