MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme kushoto akikagua daraja la Mto Mnywamaji katika kijiji cha Ruanda Halmashauri ya Wilaya Mbinga.Mndeme katika ziara hiyo aliongozana na Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa na Kamati ya Ulinzii na Usalama Wilaya ya Mbinga.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.