Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amefungua rasmi jengo la Halmashauri ya Mji Mbinga mkoani Ruvuma ambalo limegharimu shilingi bilioni tatu.
Waziri Mkuu pia amekagua nyumba mpya ya Mkurugenzi wa Mji Mbinga ambayo ilipangiwa shilingi milioni 350 na mradi wa nyumba saba za watumishi ambao ulipangiwa shilingi 300
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.