WAGENI 22 kutoka sekondari ya Mwanakwereke C Zanzibar wapo mkoani Ruvuma kwa ziara ya mafunzo na kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii vilivyopo mkoani Ruvuma.
wageni hao ambao ni walimu 15 na wanafunzi saba wameungana na watanzania Bara mkoani Ruvuma kuadhimisha miaka 61 ya Uhuru kwa kufanya usafi na mdaharo kwenye ukumbi wa Songea Klabu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.