WAKULIMA wa zao la korosho katika Mkoa wa Ruvuma msimu wa mwaka 2019/2020 wamefanikiwa kuzalisha korosho kilo milioni 24 ambazo zimewaingiza mapato ya zaidi ya shilingi bilioni 62.Haya yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme wakati anafungua kikao cha wadau wa korosho katika Mkoa wa Ruvuma kilichofanyika mjini Tunduru.SOMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=xRvkVxkM_qw&t=102s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.