Pichani katikati ni MAKAMU wa Rais wa Jamhuri wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Philip Mpango akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi katika mradi wa maji kata ya Liuli Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma uliogharimu shilingi bilioni 4.7
Wengine kushoto ni Naibu Waziri wa maji Mhandisi Maryprisca Mahundi na kulia ni Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya.
Makamu wa Rais yupo mkoani Ruvuma katika ziara ya kikazi ya siku tano
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.