Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mheshimiwa David Silinde ameagiza uongozi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha zoezi la usajili wa wanafunzi linakamilika kabla ya Januari 9,2023.
Ametoa agizo hilo wakati anazungumza kwenye kikao cha Timu ya mawaziri wanane wa kisekta kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.