Posted on: July 13th, 2025
Na Albano Midelo
Ukitafuta mahali pa kutuliza akili, kukutana na historia ya kweli, kushuhudia maajabu ya maumbile, na kusikia sauti ya asili ikizungumza na moyo wako, basi jibu lipo kati...
Idadi ya Watu mkoa wa Ruvuma = Idadi ya watu mkoani Ruvuma kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 jumla ya watu 1,848,794 kati yao wanaume 902,298 na wanawake 946,496