MKUU wa Wilaya ya Songea Pololet Mgema aliunda Tume ya kuchunguza migogoro ya ardhi katika Manispaa ya Songea.Akizungumza baada ya kupokea ripoti kutoka kwa Tume ametaja njia ambayo inaweza kupunguza migogoro ya ardhi katika Wilaya ya Songea na Mkoa wa Ruvuma kwa ujumla.
SERIKALI ya awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt John Magufuli imetoa zaidi ya shilingi bilioni 37 kuboresha uwanja wa ndege wa Songea mkoani Ruvuma.
Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Yustina Chagaka ameitaja njia ambayo inaweza kutokomea rushwa barabarani katika Mkoa wa Ruvuma
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.