Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema mwezi Machi mwaka huu Mkoa wa Ruvuma umeshika nafasi ya kwanza kitaifa katika ukusanyaji mapato kupitia TRA Kwa kukusanya mapato kwa asilimia 159.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.