Samaki wa mapambo wanaovuliwa katika eneo la Liuli wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma wanachochea Maendeleo ya wakazi wa Nyasa.Ziwa Nyasa lina aina zaidi ya 400 za samaki wa Mapambo.
Ushoroba wa Selous/Niassa ambao unapita katika wilaya za Namtumbo na Tunduru mkoani Ruvuma unatajwa kuwa ndiyo eneo pekee duniani lililobakiwa na makundi makubwa ya tembo.
Mtazame Afisa Utalii wa Pori la Akiba Liparamba mkoani Ruvuma Maajabu Mbogo akizungumzia kivutio cha aina yake katika pori hilo kinachowashangaza wengi.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.