Kamishina wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mheshimiwa Jaji Mstaafu Mary Longway Alikuwa mgeni rasmi kwenye Mafunzo ya wadau wa Uchaguzi yaliyofanyika ukumbi wa Manispaa ya songea na kushirikisha viongozi wa madini,waandishi wa Habari, na makundi maalum .
Serikali ya Awamu ya Tano imetoa shilingi bilioni 129.3 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa barabara ya lami yenye urefu wa kilometa 66 toka Mbinga hadi Mbambabay ambapo hadi sasa kilometa 40 zimekamilika
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.