Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amewapongeza wananchi,watendaji na madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kwa kuweza kukusanya mapato ya ndani kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 1.2 sawa na asilimia 82.95
Afisa Habari wa Mkoa wa Ruvuma na Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Mkoa wa Ruvuma ni miongoni mwa watumishi wa umma na sekta binafsi wapatao 105 waliofuzu kozi fupi ya itifaki
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ameupongeza uongozi wa Halmashauri ya Mbinga kuwashirikisha vijana katika mradi wa ujenzi ofisi za Halmashauri hiyo unaogharimu zaidi ya shilingi bilioni mbili.Hadi sasa serikali imetoa shilingi bilioni moja kutekeleza mradi huo
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.