Mkoa wa Ruvuma umejenga madarasa 500 baada ya serikali kutoa shilingi bilioni 10.2 kupitia UVIKO 19 kutekeleza mradi huo