Tazama maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina wakati anafungua warasha ya viongozi wa wilaya za Mkoa wa Ruvuma kuhusu usajili wa vizazi kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amewaongoza wanawake mkoani Ruvuma katika maadhimisho ya siku ya wanawake yaliyofanyika katika bustani ya Manispaa ya Songea
Mwakilishi wa mkurugenzi wa Tume was ya Ushindani FCC amemkabidhi mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme mabati 200 kwa ajili ya Maendeleo ya ujenzi katika wilaya ya Nyasa.Mndeme amekabidhi mabati hayo yenye thamani ya shilingi milioni 3.8 kwa mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.