Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma christina Mndeme amepokea msaada wa vifaa vya kukabiliana na virusi vya Corona vyenye thamani ya shilingi milioni 10.9 kutoka Kampuni ya mafuta ya Refueling Solutions ya Songea.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameipongeza Halmashauri ya Nyasa kwa kufanikiwa kupata hati safi kwa miaka minne mfululizo.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma christina Mndeme amemshukuru Rais Dkt.John Magufuli kwa kutoa zaidi ya shilingi bilioni 2.9 kwa Halmashauri ya Mji Mbinga ambazo zimetumika kujenga majengo tisa likiwemo jengo la Halmashauri ya Mji wa Mbinga lililoanza kutumika.Mndeme alikuwa anazungumza katika Baraza maalum la madiwani la CAG mjini Mbinga
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.