Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametangaza ziara ya Makamu wa Rais mkoani Ruvuma ambayo inatarajia kuanza Septemba 14 hadi 17 mwaka huu.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amemaliza mgogoro wa wadau wa madini ya makaa ya mawe Mbinga uliokuwa unaikabili kampuni ya Market Insight Limited Coal hali iliyosababisha Kampuni hiyo kusitisha shughuli za uchimbaji katika kata ya Ruanda wilaya ya Mbinga tangu Desemba 2019.
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema mkoa wa Ruvuma unaongoza nchini kwa kufanya vizuri kwenye mfumo wa stakabadhi ghalani ambapo katika zao la ufuta pekee zilipatikana zaidi ya bilioni 24
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.