Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amewaagiza watendaji wa vijini,Kata na mitaa mkoani Ruvuma kuvifunga vijiwe vyote vya michezo mbalimbali ikiwemo pool na bao ili kuepusha mikusanyiko inayoweza kuongeza maambukizo ya virusi hatari vya Corona
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amewatahadharisha madereva boda mkoani hapa kuhakikisha wanachukua tahadhari wakati wanabeba abiria ili kukabiliana na virusi hatari vya Corona.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.