Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr.Jairy Kanga ametoa rai kwa wananchi mkoani Ruvuma kutumia mbinu zote zilizotolewa na wataalam wa afya katika kuchukua tahadhari na kujilinda dhidi ya maambukizi ya wimbi la tatu la virusi vya corona ambapo hadi sasa nchi jirani tayari zimeingia katika wimbi hilo.
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amewaapisha Wakuu wa Wilaya wapya, nakutoa maelekezo katika utendaji kazi wao.Hafla ya kuwaapisha Wakuu wa Wilaya imefanyika katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma mjini Songea, na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa chama na serikali
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.