Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki amewaongoza watumishi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kumuaga mtumishi mwenzao Marehemu Musa Hamsini aliyekuwa Mhasibu ambaye alifariki kwa ajali ya gari usiku wa kuamkia Januari 22 mwaka huu.Shughuli ya kumuaga Musa imefanyika kwenye ukumbi wa Songea Klabu
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.