Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amekagua mpaka wa Tanzania na Msumbiji daraja la Mkenda wilaya ya songea kupitia mto Ruvuma
Mto Ruvuma wenye urefu wa kilometa zaidi ya 800 umeanzia milima ya Matogoro Manispaa ya Songea na kumwaga maji yake bahari ya Hindi.Ili kufamu mengi kuhusu mto huu fuatlia makala haya
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.