Mashine ya kisasa ya kuchakata magogo yenye uwezo wa kuajiri watu 250 imezinduliwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Damas Ndumbaro.Mashine hiyo iliyogharimu shilingi milioni 110 itatumika katika vijiji tisa vilivyopo katika wilaya za Songea na Namtumbo mkoani Ruvuma.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.