Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme akiwa na mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma wameendelea kutoa elimu ya kukabiliana na virusi hatari vya Corona kwa wananchi katika maeneo ya masoko na Stendi ya mabasi.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma christina Mndeme amefanya kikao na Kamati ya Maafa ngazi ya Mkoa wa Ruvuma na Kamati za Maafa kutoka wilaya zote tano za Mkoa,pamoja na mambo mengine ametoa maagizo 20 kuhakikisha kuwa Mkoa unaendelea kuwa salama dhidi ya tishio la virusi vya Corona.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme anatoa taarifa ya hali halisi ya udhibiti wa virusi hatari vya Corona mkoani Ruvuma
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.