Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametoa taarifa ya ya saa mbili ya utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2015/2020 ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Katibu Mwenezi wa CCM Taifa Humphrey Polepole
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametoa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2015/2020
SERIKALI kupitia RUWASA wilaya ya Songea imetekeleza mradi wa maji ya bomba katika kijiji cha Muhukuru wilayani Songea ambao umegharimu shilingi milioni 138.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.