WAHUDUMU 15 wa kujitolea ngazi ya Jamii ambao wamekuwa wanafanyakazi ya kuwasaidia watoto wa kaya masikini 423 mkoani Ruvuma wamepewa msaada wa baiskeli ili kuwasaidia kutoa huduma kwa jamii.
SERIKALI kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeongeza idadi ya wanyamapori katika hifadhi ndogo ya asili ya Luhira iliyopo katikati ya Mji wa Songea mkoani Ruvuma.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ameanza kuzungumza na makundi mbalimbali mkoani Ruvuma,kipaumbele cha kwanza kumetolewa kwa wazee kutokana na umuhimu wa kundi hilo katika jamii kwa sababu wazee ni hazina ya Taifa.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.