Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO ) kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu Idara ya Maafa Dawati la Afya Moja wameendesha Mafunzo ya utayari wa kukabili magonjwa ambukizi ya mlipuko kwa Timu za dharura kwa mikoa ya Ruvuma na Mtwara
Mkurugenzi wa Maafa toka ofisi ya Waziri Mkuu Kanali Jimmy Matamwe amesema zaidi ya asilimia 60 ya magonjwa anayougua binadamu yanasababishwa na wanyama.Alikuwa anafungua mafunzo ya utayari wa kukabili magonjwa ambukizi ya milipuko yaliyoshirikisha mikoa ya Ruvuma na Mtwara.
WANANCHI wa Mikoa ya Mbeya,Njombe na Ruvuma wameanza kunufaika na usafiri wa meli ya abiria ya MV Mbeya II katika ziwa Nyasa kuanzia Oktoba 5 mwaka huu
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.