Afisa Afya wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma John Kapitingana amesema asilimia 87 ya wakazi katika Halmashauri ya wilaya ya Songea wanatumia vyoo bora na kwamba lengo ni kuhakikisha kaya zote zinapata vyoo
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akikagua daraja la Mkenda Mto Ruvuma lililopo mpakani mwa Tanzania na Msumbiji kupitia Wilaya ya Songea takriban umbali wa zaidi ya kilometa 120 toka Songea mjini
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amefanya ziara katika hospitali ya Halmashauri ya wilaya ya Songea iliyojengwa katika kijiji cha Mpitimbi ambapo ametaka mradi wa ujenzi wa wodi tatu ukamilike kwa wakati ili kuanza kutoa huduma kwa wananchi
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.