Meneja wa NMB Kanda ya Kusini Janeth Shango akiwa ameongozana na Meneja NMB Songea Daniel Zake wamemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ofisini kwake mjini Songea.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amekagua mashine ya kisasa ya mionzi yenye uwezo wa kutambua wagonjwa wenye magonjwa mbalimbali.Mashine hiyo imegharimu zaidi ya shilingi milioni 270.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.