Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema serikali itawachukulia hatua wote wanaotoa taarifa potofu za ugonjwa wa corona katika Mkoa wa Ruvuma na kuwataka wananchi kupuuza taarifa ambazo zinatolewa katika Mamlaka ambazo sio sahihi
MRATIBU wa Shrika la kimataifa la PSI Kanda ya Kusini Edgar Mchaki amemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme magari mawili kwa ajili ya kukabilaina na corona katika Mkoa wa huo ambao unapakana na nchi za Malawi na Msumbiji
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.