Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametembelea na kukagua ghala la kuhifadhia mbolea lililopo mjini Songea ambapo pamoja na mambo mengine amebaini mahitaji makubwa ya mbolea ya UREA
HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imeadhimisha siku ya upandaji miti kitaifa Januari 24 kwa kupanda miche ya miti 6200 katika chanzo cha maji Namanditi kinachopeleka maji yake katika Mto Ruvuma.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.