Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema Rais Dkt.John Magufuli aneupendelea Mkoa wa Ruvuma katika miundombinu ya barabara ya lami kwa sababu makao makuu ya wilaya na Halmashauri zote nane zimeunganishwa kwa mtandao wa lami.Alikuwa nazungumza kwenye kikao cha Kamati ya Bodi ya barabara Mkoa wa Ruvuma.
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema kukamilika kwa ujenzi wa kiwango cha lami kwa barabara ya Mbinga hadi Mbambabay yenye urefu wa kilometa 66 kunafungua fursa mpya za kiuchumi.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.