KATIBU Tawala Mpya wa Mkoa wa Ruvuma Steven Mashauri ameripoti katika kituo chake kipya cha kazi mjini Songea na kupokelewa na watumishi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
TAngu kufunguliwa kwa masoko ya madini ya vito na dhahabu katika wilaya ya Tunduru na Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma ,madini yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 2.8 yamenunuliwa ambapo serikali imepata mrabaha wa shilingi miliioni 171 katika mauzo yaliyofanyika katika kipindi cha miezi sita.
SERIKALI imetoa bei elekezi ya mbolea katika Halmashauri zote za Mkoa wa Ruvuma na kwamba bei hiyo itategemea na umbali kutoka makao makuu ya Mji wa Songea.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.