Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma Paulo Lugongo ametoa rai kwa Baraza jipya la madiwani kuhakikisha wanasimamia mapato ya Halmashauri na kubuni vyanzo vipya vya mapato ili mapato yaweze kuongezeka
Serikali ya Awamu ya Tano imetoa kisi cha shilingi milioni 798 kwa ajili ya ukarabati wa sekondari kongwe ya Tunduru mkoani Ruvuma iliyoanzishwa mwaka 1978
Kijiji cha Mbati kilichopo mkoani Ruvuma kimebahatika kuwa na kivutio adimu cha utalii cha miti iliyogeuka mawe na kuvutia wageni wengi wanaotembelea katika kijiji hicho
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.