serikali imetoa jumla ya shilingi milioni 40 kutekeleza mradi wa madarasa mawili katika shule ya sekondari ya Namihoro Peramiho Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma
SERIKALI imetoa jumla ya shilingi milioni 40 kutekeleza ujenzi wa madarasa mawili katika shule ya sekondari ya Halmashauri ya wilaya ya Songea mkoani Ruvuma
Serikali kupitia mradi wa UVIKO imejenga madarasa mapya kumi yaliyogharimu shilingi milioni 200 katika shule ya sekondari Maposeni iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.