Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ameipongeza Wilaya ya Mbinga kuongoza kimkoa kwa asilimia 77 katika utoaji Bima ya Afya iliyoboreshwa CHF