Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amewaongoza wanawake mkoani Ruvuma katika maadhimisho ya siku ya wanawake yaliyofanyika katika bustani ya Manispaa ya Songea
Mwakilishi wa mkurugenzi wa Tume was ya Ushindani FCC amemkabidhi mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme mabati 200 kwa ajili ya Maendeleo ya ujenzi katika wilaya ya Nyasa.Mndeme amekabidhi mabati hayo yenye thamani ya shilingi milioni 3.8 kwa mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma christina Mndeme ametembelea eneo la Mto Mnywamaji katika Kijiji cha Ruanda wilaya ya Mbinga ambako watumishi watano wa kampuni ya TANCOAL inayochimba madini ya makaa ya mawe kunusurika baada ya gari walilokuwa wanasafiria kusombwa na maji ya mto huo.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.