Wakuu wa shule za sekondari Mikaranga na Maguu Halmashauri ya Wilaya Mbinga mkoani Ruvuma wamesema tangu kuanzishwa kwa shule hizo hawajawahi kuwa na madarasa bora kama yaliyojengwa kupitia fedha za UVIKO 19.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.