Serikali imetoa jumla ya shilingi bilioni 37 ambazo zimetumika kujenga na kukarabati kiwanja cha ndege Songea
Mkoa wa Ruvuma umebahatika kuwa na vyuo kadhaa vya maendeleo ya wananchi.Chuo cha maendeleo ya wananchi Nandembo ni miongoni mwa vyuo hivyo ambacho kimekuwa msaada kwa vijana wa wilaya ya Tunduru na Mkoa wa Ruvuma kwa ujumla
Mganga Mkuu wa Hospitali ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma Christipher Wabwarumi akitoa taarifa za mradi wa hospitali ya wilaya hiyo ambayo imeanza kutoa huduma tangu Agosti 2020
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.