Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameridhishwa na hatua ya ujenzi wa Kituo cha Afya Mtakanini wilaya ya Namtumbo ambacho amesema kitakuwa kituo cha Afya cha mfano .
BAJETI mpya ya serikali ya mwaka wa fedha 2020/2021 imesesomwa bungeni Dodoma Juni 11,2020 na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Philipo Mpango
BARAZA la makanisa ya kipentekoste Tanzania Mkoa wa Ruvuma limemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme msaada wa vifaa mbalimbali vya kukabiliana na virusi vya corona vyenye thamani ya shilingi milioni 1.5Hafla ya makabidhiano hayo imefanyika kwenye viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma mjini Songea.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.