Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameipongeza Halmashauri ya Nyasa kwa kufanikiwa kupata hati safi kwa miaka minne mfululizo.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma christina Mndeme amemshukuru Rais Dkt.John Magufuli kwa kutoa zaidi ya shilingi bilioni 2.9 kwa Halmashauri ya Mji Mbinga ambazo zimetumika kujenga majengo tisa likiwemo jengo la Halmashauri ya Mji wa Mbinga lililoanza kutumika.Mndeme alikuwa anazungumza katika Baraza maalum la madiwani la CAG mjini Mbinga
WAZIRI Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa ametaoa taarifa za faraja kwa watanzania namna idadi kubwa ya wagonjwa wa corona inavyopungua huku idadi kubwa wakipona na kuruhusiwa kuendelea na maisha ya kawaida.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.