Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako ametangaza ratiba ya masomo na mitihani kwa shule za msingi na sekondari nchini ambapo wanafunzi wakianza masomo Juni 29,2020 ,wataendelea na masomo hadi Desemba 18 mwaka huu.
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amekagua Mradi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Namtumbo ambayo imeanza kutoa huduma mwezi huu na hivi karibuni inatarajia kulaza wagonjwa na kutoa huduma ya upasuaji.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amezindua Kamati ya Maadili ya Mahakimu ngazi ya Mkoa wa Ruvuma.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.