Afisa Habari wa Mkoa wa Ruvuma na Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Mkoa wa Ruvuma ni miongoni mwa watumishi wa umma na sekta binafsi wapatao 105 waliofuzu kozi fupi ya itifaki
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ameupongeza uongozi wa Halmashauri ya Mbinga kuwashirikisha vijana katika mradi wa ujenzi ofisi za Halmashauri hiyo unaogharimu zaidi ya shilingi bilioni mbili.Hadi sasa serikali imetoa shilingi bilioni moja kutekeleza mradi huo
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amesema maendeleo hayawezi kupatikana bila kuwepo amani.Ametoa kauli hiyo wakati anazungumza na viongozi na watendaji wa serikali katika kijiji cha Chiwindi wilayani Nyasa.Kijiji hicho kipo katika mpaka wa Tanzania
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.