Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge. amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea na Baraza la madiwani ,kuhakikisha wanasimamia mazao kuuzwa katika mfumo wa stakabadhi ghalani ili kuzuia wakulima kuendelea kunyonywa na walanguzi wa mazao.Ametoa agizo hilo katika mkutano maalum wa Baraza la madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Songea ili kujadili taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG katika mwaka wa fedha 2019/2020.
Mkuu wa wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amefurahishwa na utendaji kazi wa madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga,watendaji na wananchi kwa ujumla kwa kuweza kukusanya mapato ya ndani kwa asilimia 113
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amewapongeza wananchi,watendaji na madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kwa kuweza kukusanya mapato ya ndani kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 1.2 sawa na asilimia 82.95
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.