MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amekabidhi hati ya Umiliki wa hekari 65 katika Manispa ya Songea kwa Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha .
SERIKALI imetoa shilingi bilioni tatu kutekeleza ujenzi wa sekondari ya Mkoa wa Ruvuma katika eneo la Migelegele Wilaya ya Namtumbo.Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amesikitishwa na usimamizi wa kusuasua wa mradi huoShow less
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.