Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo idadi ya watalii Tanzania inatarajia kuongeza hadi kufikia milioni tano ifikapo mwaka 2025.Pia amesema serikali inatarajia kupanua wigo wa vivutio vya utalii ikiwemo kuimarisha utalii wa fukwe na kuongeza kasi ya utangazaji vivutio vyetu vya utalii vilivyopo nchini
Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe John Pombe Magufuli akihutubia Bunge la 12 kuashiria kuzinduliwa rasmi kwa shughuli za Bunge Dodoma. Leo.
Mtazame Afisa Utalii wa Pori la Akiba Liparamba Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma Maajabu Mbogo akizungumzia vivutio vya utalii vinavyopatikana katika pori hilo.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.