Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ambaye aliwakilishwa na Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Pololet Mgema ameweka jiwe la msingi katika jengo jipya la upasuaji Hospitali ya Rufaa ya Mtakatifu Joseph Peramiho
MWAKILISHI wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mheshimiwa pololet Mgema na Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma wamewaongoza wananchi wa Manispaa ya Songea kuadhimisha miaka 58 ya Muungano kwa kufanya usafi katika maeneo mbalimbali ya viunga vya mji wa Songea.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.