MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameviagiza vyombo vya dola kuhakikisha kuwa wadaiwa wote 1664 wanaohusika na upotevu wa shilingi bilioni 1.377 fedha za SACCOS 26 mkoani Ruvuma wanasakwa na kukamatwa
SERIKALI imetoa zaidi ya shilingi milioni 100 kwa ajili ya kujenga vyumba vitano vya madarasa na matundu ya vyoo ili kuboresha miundombinu ya shule ya sekondari Nasuli wilayani Namtumbo yenye kidato cha kwanza hadi cha sita
Ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma imegharimu shilingi bilioni 1.5,ujenzi wake umefikia asilimia 97 inatarajia kuanza kutoa huduma Machi 2020.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.